BREAKING NEWS : BASI LA ABIRIA LA BM LIKITOKEA MORO KWENDA ARUSHA LAGONGA BODABODA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WATATU HAPOHAPO ENEO LA BOMA NG'OMBE.

Ni tukio la kusikitisha sana limetokea Muda si Mrefu eneo la Boma Ng'ombe Jijini Arusha ambapo Basi la Abiria la BM likitokea Morogoro limesababisha vifo vya watu watatu hapo hapo baada ya Kumgonga mwendesha Bodaboda ambaye alifariki hapo hapo na Baadae likatoka Nje ya barabara  na Kugonga watu wawili watembea kwa Mguu na kusababisha vifo vyao hapo hapo pia...   
Taarifa kamili zitawajia ...
 
Mashuhuda wakiwa wanashuhudia ajali hiyo eneo la Boma Ng'ombe Arusha 
Baadhi ya Magari yakiwa yamepaki pembeni Baada ya ajali hiyo kutokea
Baadhi ya watu wakiwa Nje wanatazama ajali hiyo 

Picha zote na Arusha yetu Blog

Author

Written by DK

Napenda kusafiri, hasa kutembelea kila mkoa katika nchi yangu nzuri Tanzania, nafanya hivyo maana hiyo ndio njia niliyochukua katika kutumikia taaluma yangu ya habari na mawasiliano ya umma

0 comments: