TAZAMA PICHA ZA TATIZO LA USAFIRI WA KUELEKEA DAR ES SALAAM ULIVYOKUWA WA SHIDA LEO ASUBUHI KWENYE BAADHI YA MAENEO YA JIJI

 Wakazi wa maeneo mbali mbali ya jiji la Dar wakiwa kwenye kituo cha basi cha Mbezi mwisho asubuhi hii kusubiria usafiri wa kwenda mjini Dar es salaam kwa shughuli mbalimbali. Hali kama hii utaikuta maeneo ya Mbagala, Gongo la Mboto, Temeke Mwisho na kwingineko katika muda huu. Jioni halihii huonekana Posta Mpya, Mnazi Mmoja na Msimbazi. Je, nini kifanyike kupunguza adha hii? Na hao ni abiria wa mabasi, bado wenye magari binafsi na usafiri mwingine, wote wakielekea katikati ya jiji.
 Kibaha Picha ya Ndege
 Nyomi ya Mbezi Mwisho
 Hapa ni Mbezi Mwisho asubuhi hii

PICHA NA MICHUZI BLOG

Author

Written by DK

Napenda kusafiri, hasa kutembelea kila mkoa katika nchi yangu nzuri Tanzania, nafanya hivyo maana hiyo ndio njia niliyochukua katika kutumikia taaluma yangu ya habari na mawasiliano ya umma

0 comments: