
Maendeleo huanzia mbali sana, hatua kwa hatua hatimaye mtu anaweza kufikia malengo yake, unaweza kupuuza na kuona bodaboda hizi hazifai leo lakini kumbuka watoto hawa wanajenga kesho yao kupitia usafiri huu, kumbe kuna haja ya kuwekewa mazingira mazuri ya elimu ili waweze kufikia malengo yao.
0 comments: