KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA YA GNSM CONTRACORS CO. LTD YATOA MSAADA WA CHAKULA CHA MWAKA MPYA KWA KITUO CHA YATIMA TOSAMAGANGA

Mkurugenzi  mtendaji  wa  kampuni  ya ujenzi  wa barabara mkoani  Iringa Ya GNSM Contractrors Co. Ltd Bw  Geofrey Mungai akikabidhi msaada  wa chakula na  vitu mbali mbali vyenye thamani ya zaidi ya Tsh milioni 1.5 kwa mlezi wa  kituo cha watoto  yatima cha  Tosamaganga,Sista  Helena Kihwele 
Mkurugenzi  mtendaji  wa  kampuni  ya ujenzi  wa barabara mkoani  Iringa Ya GNSM Contractrors Co. Ltd Bw  Geofrey Mungai  kulia  akiwa na wadau mbali mbali  walioongozana  kukabidhi misaada kwa yatima kituo cha Tosamaganga  leo 
Watoto  yatima  wa  kituo cha Tosamaganga  wakimshukuru Mkurugenzi  mtendaji  wa  kampuni  ya ujenzi  wa barabara mkoani  Iringa Ya GNSM Contractrors Co. Ltd Bw  Geofrey Mungai  kulia kwa kuwajali kwa  mwaka  mpya 
Diwani  wa  viti maalum tarafa ya  Kalenga ,Shakira  Kiwanga  (kushoto)   akimpongeza Mkurugenzi  mtendaji  wa  kampuni  ya ujenzi  wa barabara mkoani  Iringa Ya GNSM Contractrors Co. Ltd Bw  Geofrey Mungai  kulia kwa kusaidia  yatim

Author

Written by DK

Napenda kusafiri, hasa kutembelea kila mkoa katika nchi yangu nzuri Tanzania, nafanya hivyo maana hiyo ndio njia niliyochukua katika kutumikia taaluma yangu ya habari na mawasiliano ya umma

0 comments: