Picha: Gari la Naibu Waziri wa Uchukuzi likivuta magari yaliyokwama Buchosa mkoani Mwanza

Gari la Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mbunge wa jimbo la Buchosa, Dkt. Charles Tizeba likitoa msaada kwa baadhi ya magari yaliyokwama kwenye tope kutokana na mvua kali iliyokuwa ikinyesha hivi karibuni huko jimboni kwake.
Zifuatazo ni baadhi ya picha za magari yaliyokwama kwenye tope hilo.
 

Author

Written by DK

Napenda kusafiri, hasa kutembelea kila mkoa katika nchi yangu nzuri Tanzania, nafanya hivyo maana hiyo ndio njia niliyochukua katika kutumikia taaluma yangu ya habari na mawasiliano ya umma

0 comments: