ABIRIA ZAIDI 1000 NA MALORI 28 YAKWAMA KIJIJI CHA SINZA BARABARA YA SOMANGA NYAMWAGE NJIA KUU YA DSM NA LINDI MTWARA


IMG_20140309_091349Msululu wa mabasi ya abiria na malori yakiwa hayajui hatma ya safari baada ya uharibifu mkubwa uliofanyika baada ya kunyesha kwa mvua kubwa  za masika ambazo bado zinazoendelea kunyesha mkoani Lindi na baadhi  ya maeneo nchini ,hapa ni eneo korofi la kilomita 14 kati ya kilomita 60 zinazoendelea kutengenezwa ili kukamilisha barabara hiyo ya kusini kwa kiwango cha lami.(PICHA NA MDAU PAUL MARENGA WA LINDI)IMG_20140309_091747Hapa ni Sintofahamu ya waendako ikiendelea.
IMG_20140309_091830Abiria mbalimbali wakiwa bado hawaelewi la kufanya kutokana na magari waliyokuwa wakiyatumia kukwama.

Author

Written by DK

Napenda kusafiri, hasa kutembelea kila mkoa katika nchi yangu nzuri Tanzania, nafanya hivyo maana hiyo ndio njia niliyochukua katika kutumikia taaluma yangu ya habari na mawasiliano ya umma

0 comments: