Basi la hood lapinduka asubuhi hii kwenye msitu wa mufindi. Lilikuwa linaelekea Dar likitokea mbeya






Author

Written by DK

Napenda kusafiri, hasa kutembelea kila mkoa katika nchi yangu nzuri Tanzania, nafanya hivyo maana hiyo ndio njia niliyochukua katika kutumikia taaluma yangu ya habari na mawasiliano ya umma

0 comments: