Basi la Dar Express lapinduka


 BASI lenye namba ya usajili T848 ASZ limepinduka baada ya kuacha barabara na kuingia vichakani wakati lilipokuwa likivutwa baada ya kuharibika, Ajali hii ilitokea katika kijiji cha Manga Mkoani Tanga barabara ya kutoka Dar kuelekea Tanga, Inasemekana halikuwa na abiria yeyote ni Dereva na Konda tu ndio waliyonusurika kifo katika ajali hiyo. 



Author

Written by DK

Napenda kusafiri, hasa kutembelea kila mkoa katika nchi yangu nzuri Tanzania, nafanya hivyo maana hiyo ndio njia niliyochukua katika kutumikia taaluma yangu ya habari na mawasiliano ya umma

0 comments: