Mabaki ya damu yakiwa yametapakaa kwenye Kiberenge.
Pikipiki ambayo imegongwa na Kiberenge.
Kiberenge kikiwa kimeacha njia baada ya ajali.
Askari polisi akichukua maelezo kwa baadhi ya watu walioshuhudia ajali hiyo.
Wananchi wakiishangaa pikipiki katika eneo la tukio.
Mtu
mmoja ambaye jina lake halikuweza kujulikana mara moja akiwa kwenye
pikipiki yake leo mchana maeneo ya Banda la Ngozi, Ilala jijini Dar es
Salaam amegongwa na Kiberenge na kuvunjika mguu.
Napenda kusafiri, hasa kutembelea kila mkoa katika nchi yangu nzuri Tanzania, nafanya hivyo maana hiyo ndio njia niliyochukua katika kutumikia taaluma yangu ya
habari na mawasiliano ya umma
0 comments: