Kivuko kikubbwa cha Mv Magogoni kimepoteza mwelekeo wake, kwa kawaida
huwa kinatokea kivukoni na kuelekea kigamboni... lakini leo kimepoteza
mwelekeo nakuelekea njia ya Meli kubwa,abiria wote wamekolewa ila bado magari na mizigo.
chanzo- EATV
Napenda kusafiri, hasa kutembelea kila mkoa katika nchi yangu nzuri Tanzania, nafanya hivyo maana hiyo ndio njia niliyochukua katika kutumikia taaluma yangu ya
habari na mawasiliano ya umma
0 comments: