News Alart: Ndege yapotea ikiwa angani, imebeba abiria 34

Ndege ya Msumbiji yapotea angani ikiwa na watu 34, ilikuwa ikitoka Maputo kwenda Luanda, Angola. Hadi sasa haijajulikana imepatwa na balaa gani.

Chanzo mwananchi asubuhi hii

Author

Written by DK

Napenda kusafiri, hasa kutembelea kila mkoa katika nchi yangu nzuri Tanzania, nafanya hivyo maana hiyo ndio njia niliyochukua katika kutumikia taaluma yangu ya habari na mawasiliano ya umma

0 comments: