MUONEKANO WA BASI LA BUKOBA EXPRESS T 315 BLC BAADA YA KUANGUKA WILAYANI KAHAMA. BASI
LILIKUWA LINATOKEA DAR ES SALAAM KUELEKEA MKOANI BUKOBA.KWA TAARIFA ZA
HARAKA HAMNA VIFO VYA WATU BALI KUNA MAJERUHI 31 OCD AMETHIBITISHA HILI. Chanzo: DJ Sek
Napenda kusafiri, hasa kutembelea kila mkoa katika nchi yangu nzuri Tanzania, nafanya hivyo maana hiyo ndio njia niliyochukua katika kutumikia taaluma yangu ya
habari na mawasiliano ya umma
0 comments: