Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya CFAO Motors Wayne McIntosh akizungumza kwenye utambulisho rasmi wa gari jipya la Grand Cherokee (JEEP) 2014 wakati wa uzinduzi rasmi.
Bw. McIntosh amesema gari hiyo imezinduliwa wakati kampuni ya CFAO Motors ikitimiza miaka 10 ndani ya soko la Tanzania ni gari ambayo inatumika muda wote wa hali ya hewa na nzuri wakati wa foleni na Teknolojia yake ni rahisi kutumia wakati wote wa safari katika jiji la Dar es Salaam.
Pichani juu na chini ni wanenguaji kutoka Maendeleo Dance Group ambao walikuwa wakiburudisha wageni waalikwa kwenye uzinduzi huo.
Sasa imezinduliwa rasmi.......Gari aina ya JEEP Grand Cherokee 2014 ni FWD System, 8 Speed Automatic with Electronic Shift, na injini yake ni 5.7 V8. Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA
0 comments: