Mawasiliano Dodoma na Morogoro yarejea baada ya daraja la Dumila kukamilika

 Waziri wa ujenzi John Magufuli akiruhusu  Lori la kwanza kupita katika daraja la Dumila wilayani Kilosa  baada ya mainjinia wa wizara hiyo kukesha  usiku kucha kutengeneza daraja hilo.

 Waziri Magufuli bakitoa maagizo katika daraja hilo.
 Magufuli akihimiza kukamilika kwa kazi ya daraja hilo ili magari yaweze kupita.

Author

Written by DK

Napenda kusafiri, hasa kutembelea kila mkoa katika nchi yangu nzuri Tanzania, nafanya hivyo maana hiyo ndio njia niliyochukua katika kutumikia taaluma yangu ya habari na mawasiliano ya umma

0 comments: