Msanii maarufu nchini Congo Fally Ipupa amenusulika kufa baada ya kupata ajali mbaya ya gari majira ya usiku wa tarehe 7/1/2014, Hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo ila kuna mama ambae unamuona kwenye picha hapo chini aliumia vibaya sana na kukimbizwa hoptitali ambapo anapata matibabu mpaka sasa
Picha na Voice of Congo
0 comments: