PICHA ZA BASI LA MTEI LILILOCHOMWA MOTO NA WANANCHI SINGIDA

 
Hii ni habari mbaya kwa Taifa lenye sifa ya Amani Tanzania ila watu wake wamegeuka wanyama na kuchukua maamuzi mikonon.Leo asubuhi bus la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya Njia panda mnadani singida baada ya bus ilo kugonga pikipiki yani bodaboda na kuua watu watatu Hapohapo.

Author

Written by DK

Napenda kusafiri, hasa kutembelea kila mkoa katika nchi yangu nzuri Tanzania, nafanya hivyo maana hiyo ndio njia niliyochukua katika kutumikia taaluma yangu ya habari na mawasiliano ya umma

0 comments: