Wamiliki,
madereva na abiria wote mnatangaziwa kuwa kituo cha daladala Mwenge
kitafungwa rasmi siku ya Jumapili jioni tarehe 01.06.2014. Kuanzia siku
ya jumatatu asubuhi tarehe 02.06.2014 kituo kitakachokuwa kinatumika ni
Makumbusho tu. Sababu
kubwa ya kufunga kituo hicho ni ufinyu wa eneo hilo jambo linalochangia
dadalada kushindwa kuingia kituoni kwa wakati hasa vipindi vya asubuhi
na jioni hivyo kusababaisha foleni kubwa katika eneo la Mwenge. Kwa mujibu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa eneo hilo kwa sasa litabaki kuwa eneo la wazi. Madereva
mnatakiwa kutii agizo hili ili kuepukana na hatua kali ambazo
zitachukuliwa dhidi ya yeyote ambae atakaidi, aidha abiria mnatakiwa
msilazimishe kushushwa eneo ambalo hakuna kituo cha daladala. Barabara
za kuingia na kutoka kituoni Makumbusho zinaendelea kukarabatiwa na
Manispaa ya Kinondoni ili kusiwe na tatizo la kuingia kituoni hapo. Conrad Shio Afisa Mfawidhi Kanda ya Mashariki Wamiliki,
madereva na abiria wote mnatangaziwa kuwa kituo cha daladala Mwenge
kitafungwa rasmi siku ya Jumapili jioni tarehe 01.06.2014. Kuanzia siku
ya jumatatu asubuhi tarehe 02.06.2014 kituo kitakachokuwa kinatumika ni
Makumbusho tu. Sababu
kubwa ya kufunga kituo hicho ni ufinyu wa eneo hilo jambo linalochangia
dadalada kushindwa kuingia kituoni kwa wakati hasa vipindi vya asubuhi
na jioni hivyo kusababaisha foleni kubwa katika eneo la Mwenge. Kwa mujibu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa eneo hilo kwa sasa litabaki kuwa eneo la wazi. Madereva
mnatakiwa kutii agizo hili ili kuepukana na hatua kali ambazo
zitachukuliwa dhidi ya yeyote ambae atakaidi, aidha abiria mnatakiwa
msilazimishe kushushwa eneo ambalo hakuna kituo cha daladala. Barabara
za kuingia na kutoka kituoni Makumbusho zinaendelea kukarabatiwa na
Manispaa ya Kinondoni ili kusiwe na tatizo la kuingia kituoni hapo. Conrad Shio Afisa Mfawidhi Kanda ya Mashariki
Napenda kusafiri, hasa kutembelea kila mkoa katika nchi yangu nzuri Tanzania, nafanya hivyo maana hiyo ndio njia niliyochukua katika kutumikia taaluma yangu ya
habari na mawasiliano ya umma
0 comments: