Breaking News: Basi la Mohamed Trans lapata ajali, laua na kujeruhi 20


Na. Ismael Mohamed: Watu wawili wamepoteza maisha, majeruhi 20 na wengine 9 hali zao mbaya wamehamishwa hospitali na kupelekwa  Bugando kutokana hali zao kuwa mbaya na 10 wakiwa wamelazwa katika hospitali moja karibu na eneo la tukio lilipo tokea baada ya basi la Mohammed Trans la Mwanza-Singida kuacha njia na kupinduka eneo la Ukiliguru, Mwanza!..

Author

Written by DK

Napenda kusafiri, hasa kutembelea kila mkoa katika nchi yangu nzuri Tanzania, nafanya hivyo maana hiyo ndio njia niliyochukua katika kutumikia taaluma yangu ya habari na mawasiliano ya umma

0 comments: