Mwenyekiti
Mtendaji wa Kampuni ya Simon Group, ambayo
inamiliki Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena (wa pili
kishoto), akipokea mfano wa funguo ya gari, kuashiria kupokea mabasi 175
aina
ya Eicher, kutoka kwa Rais wa Kampuni ya Eicher ya India, Anurag Vohra,
wakati
wa hafla fupi ya kuikabidhi mabasi hayo, iliyofanyika leo jijini Dar es
Salaam. Mabasi hayo 175 yanafanya idadi ya mabasi 280 kati ya 1000
yalinunuliwa
na kampuni hiyo yanayofanya safari zake jijini Dar es Salaam. (Picha na
Joseph
Senga)
0 comments: