Picha: Dereva mwanamke wa basi la Ndenjela Coach awa kivutio kwa abiria wanaosafiri kwenda Mbeya




DEREVA NUSURA MAGULUKO 28 AKIMWOMBA MUNGU KABLA YAKUANZA SAFARI



SASA HAPA YUPO KAZINI


BAADHI YA ABIRIA WAKIFURAHIA MWENDO MZURI WA DEREVA NUSURA MGULUKO



ABIRIA WAKIPATIWA HUDUMA YA VITAFUNWA NDANI YA BASI HILO LA NDENJELA

Author

Written by DK

Napenda kusafiri, hasa kutembelea kila mkoa katika nchi yangu nzuri Tanzania, nafanya hivyo maana hiyo ndio njia niliyochukua katika kutumikia taaluma yangu ya habari na mawasiliano ya umma

0 comments: