Hili
ni Gari dogo likiwa limebeba abiria , na baadae madereva wa daladala
kusimamisha na kushusha abiria hao. huku abiria wengine wakiwa hawana
cha kufanya kutokana na kukosa usafiri.
Toyo
Kilimo kwanza ikiwa imeacha kubeba mizigo shambani na kubeba abiria
kutokana na shida ya usafiri jijini Mwanza mda huu baada ya madereva
kugoma.
0 comments: