Key:
1. RANGI YA NJANO - Njia ya Uelekeo Mmoja {One Way}.
2. RANGI YA BLUE MPAUKO - Njia ya Mielekeo Miwili {Two Way}
3. RANGI YA KIJANI - Mitaa ya Kutembea kwa Miguu Magari marufuku {Walking Streets}
4. RANGI NYEKUNDU - Barabara za kupita Daladala
5. RANGI YA BLUU ILIYOIVA - Barabara za DART
6. DUARA ZA NJANO - Mzunguuko {Roundabout}
7. MSALABA WA KIJANI - Makutano yenye Taa za kuongozea Magari {Singnalized Intersection}

1.
Kipande cha Mtaa wa Samora kuanzia Mnara wa Askari (Askari Monument)
hadi Clock Tower Magari kutakuwa na mabadiliko ambayo magari yatakuwa
yanaelekea Clock Tower badala ya Askari Monument.
2.
Barabara ya Sokoine kuanzia Station hadi Makutano ya Mtaa wa Maktaba
Posta Ya Zamani Magari yatakuwa yanaelekea Uelekeo mmoja wa Station
Posta ya Zamani tofauti na ilivyo sasa Posta ya Zamani kwenda Station.
3. Barabara ya Kivukoni Kuanzia Posta ya Zamani hadi Ferry itakuwa barabara ya mielekeo miwili (Two Ways).
4. Barabara ya Samora kuanzia Mnara wa Askari hadi Ocean Road Hospitali itakuwa ni barabara ya mielekeo miwili.
5.
Daladala Zote zitakazotokea barabara za Makataba zitakunja kulia
pembeni ya Jengo la NBC na hadi Makutano ya Mkwepu na kukunja kushito
kuingia Sokoine pale Posta ya Zamani na baadaye kukunja kushoto kuingia
Makataba na kurudi Posta Mpya .
Kwa Maelezo zaidi Wasiliana na Ofisi za DART
UBUNGO PLAZA GHOROFA YA KWANZA.
AU.
OFISI YA MHANDISI WA MANISPAA YA ILALA
MABALA NA SHOPRITE SUPEEMARKET JIRANK NA KAMATA
Mtaarifu mwingine juu ya mabadiliko haya kuondoa usumbufu ifikapo siku ya Jumatatu 28/04/2014. PASAKA NJEMA
0 comments: