Basi la smart likiwa limepinduka eneo la Lugoba |
Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amepoteza fahamu baada ya kupata mshtuko |
Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi la Smart Asubuhi Ya leo.
Basi
Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa Nchini
Kenya Limeacha Njia Na Kupinduka na Kusababisha Vifo vya watu Wawili
pamoja na Kujeruhi abiria wanaokadiriwa kufika 20 .Ajali hiyo imetokea katika Eneo la
Mkata na Lugoba Barabara Kuu ya Chalinze Segera.PICHA NA HABARI NA DJ SEK BLOG
0 comments: