Bango la Baa maarufu ya Terminal iliyopo jirani na stendi ya mabasi ya Msavu ambayo imeteketea na moto jana usiku
Bia zimeungua mpaka zimeivaa
Mjasiliamali Asha Juma alifanikiwa
kutyoa baadhi ya wavitu vilivyokuwa dukani kwake pichani akihangaika
kutumu meseje kwa ndugu na jamaa akiwajulishwa tukio hilo
mmoja wa wafanyakazi wa faya akihangaika
kuvuta maji kwenye mashine za kusukuma maji za gari hilo bila
mafanikio.baada ya gari hilo kuishiwa maji
NA DUSTAN SHEKIDELE,MOROGORO.
MOTO Mkubwa uliowaka jana usiku zaidi
ya masaa manne mfurulizo umeteketeza maduka zaidi ya 10 yaliopo eneo la
Msamvu Morogoro jirani na stendi kuu ya mabasi ya ya mikoani.
Wakihojiwa na Mtandao huu baadhi ya
mashuhuda wa tukio hilo walidai kwamba chanzo cha moto huu ni hitirafu
ya umeme iliyotokea kwenye baa ya Terminal Pub na moto huo kusambaa
kwenye maduka mengine.
"Baada ya kutokea hali hiyo moto
ulishika kasi kubwa na kuwashinda watu wa fanya ambapo ulianza kuwaka
saa nane usiku mpaka muda huu saa 12 asubuhi bado unawaka kama
unavyouona"alisema Bw Agustino Massawe.
Juhudi za Mtandao huu za kuzungumza na
Mmili wa jengo hilo lenye maduka zaidi ya 30 mzee Melle ziligonga ukuta
baada ya mzee huyo kutoonekana eneo hilo la tukio.
Hadi mtandao huu una kwenda mitambo
hakuna mtu yoyote aliyekuwa tayari kuzungumzia hasara zilitopatikana
kwenye janga hilo kufutia wamiliki wote wa maduka hayo kuwa bize kuokoa
mali za
Chanzo: Shekidele
0 comments: