Hapa
ni Moshi maeneo ya Kiyungi, wakazi wa Moshi nafikiri wanafahamu sana
hili eneo. Hivi kweli hakuna uongozi katika eneo hili maana maisha ya wananchi yako hatarini na pia katika picha hii inaonesha wanafunzi wanavuka wakiwa wamebeba ndoo za maji hii ni hatari.Picha na Samwel Yoel Msembe
0 comments: