Zaidi ya watu 12 wameripotiwa kufa na wengine kujeruhiwa baada ya basi
walilokuwa wakisafiria la Burudani kutoka Korogwe kwenda Dar es Salaam
kupinduka katika kijiji cha Taula wilayani Handeni mkoani Tanga.
Napenda kusafiri, hasa kutembelea kila mkoa katika nchi yangu nzuri Tanzania, nafanya hivyo maana hiyo ndio njia niliyochukua katika kutumikia taaluma yangu ya
habari na mawasiliano ya umma
0 comments: