#DerevaMakini: Wajibu wa taasisi, makampuni katika kupunguza ajali za mabasi ya abiria (1)

#DerevaMakini: Wajibu wa taasisi, makampuni katika kupunguza ajali za mabasi ya abiria (1)

Nawasalimu nyote kwa jina la uzalendo na utaifa uliotukuka, leo katika mwendelezo wa kampeni ya #DerevaMakini ambayo inalenga kuishirikisha jamii katika kukabiliana na ajali ambazo...
read more →

KITUO CHA DALADALA MWENGE KUFUNGWA RASMI JUMAPILI HII

KITUO CHA DALADALA MWENGE KUFUNGWA RASMI JUMAPILI HII

Wamiliki, madereva na abiria wote mnatangaziwa kuwa kituo cha daladala Mwenge kitafungwa rasmi siku ya Jumapili jioni tarehe 01.06.2014. Kuanzia siku ya jumatatu asubuhi tarehe 02.06.2014...
read more →

MRADI WA UJENZI WA RELI KUTOKA MOMBASA - DAR ES SALAAM

MRADI WA UJENZI WA RELI KUTOKA MOMBASA - DAR ES SALAAM

Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Mombasa hadi Nairobi hatimaye utaendelea, baada ya kutiwa saini makubaliano ya ufadhili kati ya serikali ya Uchina na Kenya. Reli hiyo...
read more →

KUHUSU DEREVA ALIYEFARIKI DUNIA AKIWA KWENYE FOLENI YA UKAGUZI JIJINI DAR ES SALAAM

KUHUSU DEREVA ALIYEFARIKI DUNIA AKIWA KWENYE FOLENI YA UKAGUZI JIJINI DAR ES SALAAM

Dereva wa malori ya safari za masafa marefu Charles Mbungu (46), amefariki dunia akiwa ndani ya lori alipokuwa katika foleni ya ukaguzi wa magari kwenye...
read more →

ZIFAHAMU HOTELI ZENYE SWIMMING POOL MKOANI MOROGORO

ZIFAHAMU HOTELI ZENYE SWIMMING POOL MKOANI MOROGORO

Kuogelea ni sehemu mojawapo ya burudani kwa walio wengi hasa wale wanaoishi katika maeneo yenye fukwe za bahari, maziwa na hata mito. Kama wewe ni...
read more →

Dondoo: Mahitaji muhimu ya kuambatanisha wakati wa kuomba pasipoti/hati ya kusafiria

Dondoo: Mahitaji muhimu ya kuambatanisha wakati wa kuomba pasipoti/hati ya kusafiria

Kipindi kilichopita tuliona aina za pasipoti zinazotolewa nchini Tanzania na baadhi ya taarifa unazotakiwa kuwa nazo ili uweze kuipata. Leo tutaangalia hati zitazokusaidia pia upate...
read more →